Kituo cha elimu cha Koinonia Education, kilichopo Zanzibar Kinatangaza nafasi za masomo ya Kompyuta na Kiingereza katika ngazi ya cheti. Ni chuo kizuri na chenye mafanikio makubwa katika utoaji wa elimu bora katika fani za Kompyuta na Kiingereza. Zifuatazo ni Kozi zinazotolewa katika kituo hiki:-
KIINGEREZA
KOMPYUTAKituo hiki kinao walimu wa kutosha na waliobobea katika nyanja ya ufundishaji. Pia nyenzo za kujifunzia kama vile vitabu, kompyuta na madara zipo za kutosha. Mwanafunzi akisoma na kuhitimu katika kituo cha Koinonia Education, atapatiwa cheti kitakachomuwezesha kupata kazi mahali popote. Fomu za kujiunga zinapatikana hapo kituoni, Zaznibar. Kipo Mjini Unguja katika mtaa wa Mpendae maeneo ya Mchina Mwanzo, mkabala na barabara ya Jang'ombe. Kwa taarifa zaidi waone wenyewe Koinonia Education Center, au unaweza Kuwasiliana nao kwa njia zifuatazo:-
Mzazi, mlezi, changamkieni hii nafasi ili watoto wenu wapate elimu bora itakayowawezesha kupata kazi nzuri, na kuendeleza ujenzi wa Taifa kwa ujumla. Wahi sasa kwani nafasi ni chache. Nyote Mnakaribishwa!!!!!!! The official logo of Koinoia Education Center, Zanzibar. Others are reading this!
How to install windows XP
|
Internet basics tutorials! Learn the Internet basics on our free Internet tutorials. Learn how to surf the web and a variety of other related matters we offer on this blog. Get started now! Advertisement! Blogging tips and tutorials! Learn what the blog is, its importance, how to create it and other related topics in our free blogging tutorials! About this blog's Author!
Mpiga Kabeya is a Computer teacher. He also enjoys coding professionally, highly experienced on HTML, JavaScript, Php, Css, VB Script, etc. He is also a professional graphics designer as well as..... Advertisement! |