Wakazi wa visiwa vya Zanzibar wamelalamikia uhaba wa vituo vinavyouza umemeWananchi wanaoishi katika visiwa vya Zanzibar wamelalamikia uhaba wa vituo vinavyouza umeme wa ZECO visiwani humo. Hayo tumeyashuhudia leo saa 2:00 usiku tulipotembelea kimoja kati ya vituo vitatu vikubwa kilichopo mtaa wa Kwa Mchina Mwanzo, mjini Unguja. Wananchi hao ambao walikuwa wamepanga foleni ndefu katika kituo hicho, walionyesha manung'uniko yao wakisema uhaba wa vituo vya ZECO (Zanzibar Electricity Corporation) unawafanya wapoteze muda mwingi wakisubiri huduma. Walisema vituo vyote vipo maeneo ya mjini na kwamba vyote vipo katika wilaya moja ya Mjini Magharibi, hali ambayo inamlazimu mwananchi anayeishi shamba kusafiri umbali mrefu kuja mjini kununua umeme...... Learn more! 5th July 2014! Mjknetten's popular news posts
More Posts: More news Sports news Music news |
Internet basics tutorials! Learn the Internet basics on our free Internet tutorials. Learn how to surf the web and a variety of other related matters we offer on this blog. Get started now! Advertisement! Blogging tips and tutorials! Learn what the blog is, its importance, how to create it and other related topics in our free blogging tutorials! About this blog's Author!
Mpiga Kabeya is a Computer teacher. He also enjoys coding professionally, highly experienced on HTML, JavaScript, Php, Css, VB Script, etc. He is also a professional graphics designer as well as..... Advertisement! |
No comments:
Post a Comment