Facebook Fan Page Computer Tutorials News Blogging Internet Latest Posts

Today is:

Sports

Sports

You are Here: Home > News > Sports

Frank Lampard yuko mbioni kuiacha Chelsea!

Mshambuliaji mahiri anayeitumikia Club ya Chelsea FC ya nchini Uingereza, Frank Lampard, anatarajia kuiacha Club hiyo maarufu katika ulimwengu wa soka.

Habari zinadai Lampard anaondoka klabuni hapo ktokana na kushindwa kuwa na mwafaka mzuri juu ya mkataba mpya.

Lampard (35), anaondoka Klabuni hapo baada ya mkataba wake kuisha, ambapo taarifa zinasema mwishoni mwa mwezi huu (Juni) utakuwa mwisho wa kuitumikia klabu hiyo yenye mashabiki lukuki duniani.

Mchezaji huyo alijiunga Chelsea akitokea West Ham United, manamo 2001, ameitumikia klabu ya Chelsea kwa misimu 13, akifunga mabao 211, kitendo kinachompa nafasi ya kuwa na rekodi ya kufunga mabao mengi katika historia ya klabu hiyo...... Soma zaidi!

Tarehe 7 June 2014!

Kamati ya uchaguzi ya Simba Sports Club kuamua hatima ya wagombea wenye dosari kesho
Mbunge wa Nzega, Dr. Hamis kigwangalla asema hatowasusia fisi bucha!
Berry Black kupakua ngoma mpya makonelah records, Zanzibar!
Wanajeshi 17 wauawa mpakani Iran!
The top 5 powerful antivirus software

Advertisement!

About this blog's Author!

Mpiga Kabeya is a Computer teacher. He also enjoys coding professionally, highly experienced on HTML, JavaScript, Php, Css, VB Script, etc. He is also a professional graphics designer as well as.....
Check him on Google+!

Advertisement!

No comments:

Post a Comment