Artist:
Roby wa Ukweli Ft. Smile Artist's Profile!Hii ni video ya nyimbo inayoitwa Nampenda ya msanii wa muziki wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Roby wa Ukweli akiwa amemshirikisha mkali wa sauti tamu tamu, Smile. Ni nyimbo kali ambayo imetengenezwa na Producer Chief Elia wa T-Top Record mjini Unguja .Roby ni miongoni mwa wasanii wa bongo flaver wanaoishi mjini Zanzibar. Akitokea mjini Nzega mkoani Tabora, Roby wa Ukweli ni miongoni wa wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Flavour. Katika Ngoma hii, Roby amemshirikisha Smile a.k.a mzee wa Kichefu Chefu.
|
Recommended videosArtist: Rich Mavoko
Artist: Jux
Artist: Linex |
No comments:
Post a Comment