Facebook Fan Page Computer Tutorials News Blogging Internet Latest Posts

Today is:

Video ya Usiniseme - Alikiba (Bongo flavour)

Video ya Usiniseme - Alikiba (Bongo flavour)

You are Here: Home > Music > Video ya Usiniseme - Alikiba (Bongo flavour)

Artist: Ali Kiba
Song: Usiniseme

Artist's Profile!

Alikiba 4Real

Alikiba ni miongoni mwa wasnii wanaowakilisha vyema katika sanaa, akiwa amejikita zaidi katika muziki pendwa hapa nchini Tanzania, Bongo flavour.

G Records ndio studio iliyomtoa kimuziki miaka ya 2007+ ambapo aliweza kutoa nyimbo kadhaa ambapo mpaka leo zinakubalika.

Video hii aliito mnamo mwaka 2008. Nakumbuka baada ya nyimbo hii kutoka kila mitaa niliyokuwa nikipita nilikuwa ninasikia watu wa rika tofauti tofauti wakiimba "Usinisemeee x 3, usiniseme kama napenda kula usinisemeeeeeee......"! Keep it up boy, Ali K 4Real!

Hii ilikuwa ishara tosha ya iliyoonyesha kuwa nyimbo hii ni kali na inakubalika. Baadhi ya nyimbo alizowahi kutoa Alikiba ni pamoja na Dushelele, Yatima, Njiwa, Cinderella, My everything, Naksh naksh, n.k. Kipaji cha Alikiba huwa kinawavutia wasanii wenzake na kunamani kumshirikisha au kufanya kolabo. Miongoni mwa wasnii aliowahi kushirikiana nao ni pamoja na Queen Darleen, Ommy Dimpoz, Marehemu Sharo Millionaire, Abdu Kiba, Berry Black, Abby Skillz, n.k.

Recommended videos

Artist: Rich Mavoko
Song: Roho yangu
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Jux
Song: Uzuri wako
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Linex
Song: Ngekewa
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

No comments:

Post a Comment