Facebook Fan Page Computer Tutorials News Blogging Internet Latest Posts

Today is:

My everythging - Alikiba - (Bongo fleva video)

My everythging - Alikiba - (Bongo fleva video)

You are Here: Home > Music > My everythging - Alikiba - (Bongo fleva video)

Artist: Ali Kiba
Song: My Everything

Artist's Profile!

Alikiba

Alikiba ni msanii wa muziki wa bongo fleva. Kwa mara ya kwanza aliwakamata mashabiki wa muziki wa bongo fleva baada ya kutoa nyimbo yake mwaka 2007 inayoitwa Cinerela. Baada ya hapo aliweza kuzidi kujing'arisha zaidi baada ya kuendelea kutoa mapini (nyimbo) ya nguvu kama vile Naksh naksh, MacMuga, Dushelele, My everything, etc.

Kinachomuwezesha Alikiba kuendelea kung'aa katika sanaa ni ubunifu aliojaliwa, ukiangalia uimbaji wake haufanani na msanii mwingine. My everything ni nyimbo ambayo mimi mwenyewe binafsi naipenda sana kuanzia Audio hadi video. Itazame video na sikiliza sauti zilivyopangwa kwa ustadi mkubwa. Naimani utafurahi!

Recommended videos

Artist: Rich Mavoko
Song: Roho yangu
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Jux
Song: Uzuri wako
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Linex
Song: Ngekewa
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

No comments:

Post a Comment