Facebook Fan Page Computer Tutorials News Blogging Internet Latest Posts

Today is:

Video ya Muziki gani ya Diamond platnumz Ft. Ney wa mitego (The true boy)

Video ya Muziki gani ya Diamond platnumz Ft. Ney wa mitego (The true boy)

You are Here: Home > Music > Video ya Muziki gani ya Diamond platnumz Ft. Ney wa mitego

Artist: Diamond Platnumz Ft. Ney wa Mitego
Song: Muziki gani

Artist's Profile!

Diamond na Ney wa Mitego

Hii ni video ya nyimbo inayoitwa Muziki gani ya msanii wa muziki wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Diamond Platnumz a.k.a Rais wa wasafi. Katika nyimbo hii, Diamond alimshirikisha msanii wa Hip Hop wa hapa hapa Tanzania anayejulikana kama Ney wa Mitego.

Hapa rais wa wasafi na pale The true boy. Kusema kweli ni bonge la kolabo ambalo lilileta mapinduzi na kuwafanya wanasanii hawa kuzidi kupanda chati kunako game la muziki wa bongo flavour.

Katika nyimbo hii ya Muziki gani Diamond na Nay wanapondana na kujigamba kwa vina, huku kila mmoja akijitahidi kutetea upande wake wa style ya uimbaji. Diamond anatetea wanaomba na Nay anatetea wanao-rap!

Recommended videos

Artist: Rich Mavoko
Song: Roho yangu
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Jux
Song: Uzuri wako
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Linex
Song: Ngekewa
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

No comments:

Post a Comment