Facebook Fan Page Computer Tutorials News Blogging Internet Latest Posts

Today is:

Video ya Kidela - Abdukiba Ft. Alikiba hii hapa

Video ya Kidela - Abdukiba Ft. Alikiba hii hapa

You are Here: Home > Music > Video ya Kidela - Abdukiba Ft. Alikiba hii hapa

Artist: Abdu Kiba Ft. Ali Kiba
Song: Kidela

Artist's Profile!

Abdu Kiba na Alikiba

Hii ni video ya nyimbo inayoitwa Kidela ya msanii wa muziki wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Abdu Kiba akiwa amemshirikisha kaka yake, Alikiba. Ni nyimbo kali ambayo ilipokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa bongo fleva na mpaka leo, watu wanaonekana wanaipenda kinoma

.

Ikiwa imetengenezwa katika studio za Mazuu Records ya jijini Dar Es Salaam, Kidela ni nyimbo ambayo iliwakutanisha Abdu Kiba na kaka yake Alikiba. Ina ujumbe mzuri na wenye mafunzo makubwa, itazame na kuisikiliza kwa makini - utafurahi na kujifunza kitu.

Recommended videos

Artist: Rich Mavoko
Song: Roho yangu
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Jux
Song: Uzuri wako
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

Artist: Linex
Song: Ngekewa
Style: Bongo flavour
Click here to watch this video on its own page

No comments:

Post a Comment