Karibu katika ukurasa wa Nyumbani wa blog ya Mjknetten!
Uko Hapa: Nyumbani Masomo ya bure yanayotolewa na mjknettenBlogi hii (mjknetten) inatoa masomo ya Teknolojia bure kwa yeyote anayetaka kujifunza na kupata maarifa au uzoefu wa msingi wa mambo ya Kompyuta, Intaneti pamoja na utengenezaji, usimamizi na uendeshaji wa blog. Masomo yetu tumeyaweka katika mpangilio mzuri ili iwe rahisi kwako kuyasoma au kuyapitia. Katika masomo haya utajifunza nini maana ya kompyuta, inavyofanya kazi, sehemu zinazounda kampyuta (Hardware & Software) pamoja na mambo mengine yanayoshabihiana na hayo.Pia utajifunza msingi wa Intaneti ambao utakupa uwezo wa kutafuta habari mbalimbali zilizopo kwenye Intaneti kama vile Video, Muziki, Picha, n.k.. Zaidi ya masomo yaliyotajwa hapo juu, ni kwamba blogi yetu hii ya Mjknetten inatoa masomo ya Blogging ya bure ambayo yatakupa uelewa au ujuzi wa maswala mbalimbali yanayohusu teknolojia ya blogu, kama vile kutengeneza blogu, kujiingizia pesa kupitia blogu pamoja na kunakshi muuondo au muonekano wa blogu yako ili iweze kuvutia watembeleaji wa blogu hiyo. Unasubiri nini? Anza sasa na ujivunie kuwa miongoni mwa wataalamu wa teknolojia ya Kompyuta. Habari zinazotolewa na mjknetten!Blogu hii haitoi mafunzo ya kompyuta pekee yake, bali pia huchapisha habari mbalimbali zilizojikita kwenye maswala ya kisiasa, kijamii, kiburudani na kimichezo. Mbali na kuchapisha habari za kinyumbani (Tanzania) huwa tunapaa pia kimataifa tukikuletea habari za matukio mbalimbali yanayotokea ulimwenguni kote. Kwa hiyo tarajia kupata habari za kila aina kutoka maeneo mbalimbali duniani zilizokusanywa na kuchapishwa hapa hapa mjknetten. You may also like this:
More Posts: More news Sports news Music news |
Internet basics tutorials! Learn the Internet basics on our free Internet tutorials. Learn how to surf the web and a variety of other related matters we offer on this blog. Get started now! Advertisement! Blogging tips and tutorials! Learn what the blog is, its importance, how to create it and other related topics in our free blogging tutorials! About this blog's Author!
Mpiga Kabeya is a Computer teacher. He also enjoys coding professionally, highly experienced on HTML, JavaScript, Php, Css, VB Script, etc. He is also a professional graphics designer as well as..... Advertisement! |
No comments:
Post a Comment